HUDUMA NYINGINE KWA WATEJA
     
  Tofauti na kuwa biashara ya msingi ni kusambaza maji ya jumla, KASHWASA pia inajihusisha na:-
- Kutoa msaada wa kiufundi kwa wateja.
- Inatoa mafunzo kwa wateja juu ya usimamizi wa huduma ya usambazaji maji.
- Kutoa msaada wa usimamizi.