Zoezi la utiaji saini Mkataba wa kuuza Maji ya jumla kati ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kahama Shinyanga (KASHWASA) na chombo cha watoa huduma ya Maji ngazi ya jamii.Community Based Water Supply Organization (CBWSOs)Mkinge na Maguni.