Bodi ya Wakurugenzi ya KASHWASA leo asubuhi imekutana nakufanya mazungumzo na Waziri wa Maji na Nishati Zanzibar Mhe.Shaibu H. Kaduara(aliyevaa nguo ya kijivu).Katika mapokezi hayo,Mhe.Waziri wa Maji na Nishati alifuatana na Naibu wake wa Maji na Nishati Mhe.Shaban Othman(aliyevaa nguo nyeusi).Bodi ya KASHWASA ipo Kisiwani Zanzibar kwa lengo la kubadilishana uzoefu na Mamlaka ya Majisafi Zanzibar(ZAWA)