Mgeni rasmi, CPA. Joyce Msiru (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa KASHWASA Eng. Patrick Nzamba wakifanya makabidhiano ya hati.


Makabidhiano rasmi ya mali za mradi wa maji wa Tabora, Igunga na Nzega yamefanyika leo (22/06/2022) kwenye ukumbi wa mikutano wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kahama Shinyanga (KASHWASA) , Shinyanga. Makabidhiano hayo yaliongozwa na Mkurugenzi wa Idara ya Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira, Wizara ya Maji CPA. Joyce Msiru ambaye aliwakabidhi hati hizo Wakurugenzi Watendaji wa Mamlaka za Maji zifuatazo:-


-Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kahama Shinyanga (KASHWASA) - Eng.Patrick Nzamba
-Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Nzega (NZUWASA) - Eng.Athumani Kilundumya
-Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Igunga (IGUNGA) - Eng. Humphrey Mwiyombela
-Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Tabora (TUWASA) - Eng. Mayunga Kashilimu

 Katikati ni mgeni rasmi, CPA. Joyce Msiru, mkurugenzi wa Idara ya Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingiwa, Wizara ya Maji na Mkurugenzi Mtendaji wa KASHWASA Eng. Patrick Nzamba (kulia) wakisaini hati ya makabidhiano.

 Mkurugenzi Mtendaji wa TUWASA Eng. Mayunga Kashilimu akisaini hati ya makabidhiano

 

 Mgeni rasmi, CPA. Joyce Msiru (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa TUWASA Eng. Mayunga Kashilimu wakifanya makabidhiano ya hati

 

 Mkurugenzi Mtendaji wa NZUWASA Eng. Athumani Kilundumya akisaini hati ya makabidhiano

 

 Mgeni rasmi, CPA. Joyce Msiru (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa NZUWASA Eng. Athumani Kilundumya wakifanya makabidhiano ya hati.

 

 Mgeni rasmi, CPA. Joyce Msiru (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa IGUWASA Eng. Humphrey Mwiyombela wakifanya makabidhiano ya hati.

 

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi KASHWASA, Eng. Bashir Mrindoko (kushoto) akitoa neno

 

 Mkurugenzi Mtendaji wa KASHWASA Eng. Patrick Nzamba akitoa maelezo kwa mgeni rasmi pamoja na wageni waalikwa kuhusu Mtambo wa kunyanyua vitu vizito ambao ni moja ya mali zilizokabidhiwa KASHWASA

 

Picha ya pamoja