Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mc ndugu Jasinta Mboneko, akipokea maelezo ya Mchoro wa tangi la Mwakitolyo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa KASHWASA ndugu Patrick Dismas Nzamba leo hii tarehe 16/06/2022

Mkuu wa Wilaya akikagua tangi la Mwakitolyo