Picha mbalimbali zikionesha hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Maji ya Ziwa Victoria kwenda Miji ya Nzega, Igunga na Tabora. Hafla hiyo imefanyika leo Januari 30, 2021 Mjini Tabora. Aliyezindua mradi huu ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.