Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi KASHWASA wafanya ziara kwenye mradi mkubwa wa maji ya Ziwa Victoria. Jana walitembelea Mradi huo katika Wilaya ya Nzega, Igunga na Uyui mkoani Tabora.