Bw. Gerald Benedicto ambaye ni Senior Electrical Technician kwenye kituo cha kuzalisha maji Ihelele, ameibuka Mfanyakazi Bora wa KASHWASA kwa mwaka 2019/2020. Nafasi ya pili ilishikwa na Bw. William Musabi na nafasi ya tatu ilishikwa na Bi. Mwahija Mohamedi. Pongezi kwao.