Waziri wa maji Prof. Makame Mbarawa amaliza ziara yake ya siku mbili ya kukagua miradi ya maji mjini Shinyanga na Kahama aliyoianza jana tarehe 12/08/2020