Bodi ya wakurugenzi ya SHUWASA yafanya ziara kituo cha uzalishaji maji Ihelele kinachosimamiwa na KASHWASA. Wapongeza kazi nzuri zinazofanywa na KASHWASA.