Viongozi wa KASHWASA watembelea ujenzi wa Tanki la Maji la Mawiti Mjini Tabora. Pichani juu ni Mkururugenzi Mtendaji Eng. Joshua Mgeyekwa (kushoto) na Meneja Biashara Bw. John Zengo (kulia) wakikagua ujenzi wa tangi hilo.