Wananchi wa vijiji vya Ipumbulya, Ussongo, na Zibba Wilaya ya Igunga waishukuru Serikali kuwafikishia Maji ya Ziwa Victoria kupitia Mradi unaosimamiwa na KASHWASA