Pichani kushoto ni Meneja Biashara wa KASHWASA Bw. John Zengo akitoa msaada wa barakoa 100 na vitakasa mikono 50 kwa Mkuu wa Wilaya ya Kishapu.