KASHWASA yapewa TUZO 3 na EWURA leo  Jijini Mwanza kwa kuwa Mamlaka bora kupunguza upotevu wa Maji, kuwa bora kwa Utendaji na kuwa bora kwenye kufikia Malengo yake kwa Mwaka 2018/2019