Wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Eng. Joshua Mgeyekwa, watumishi wa KASHWASA wahamia rasmi kwenye ofisi mpya za Mamlaka hiyo leo. Pichani ni watumishi hao wakijikabidhi mikononi mwa Mungu kabla ya kuingia rasmi kwenye jengo hilo.