Mradi wa Maji Kagongwa - Isaka ukiendelea kutekelezwa. Hapa ni eneo la Isaka Relini ambapo Mradi upo katika hatua za mwisho kukamilika.