Mkurugenzi Mtendaji wa KASHWASA Eng. Joshua Mgeyekwa akiongoza kikao cha wafanyakazi wa Mamlaka kilichofanyika leo Ukumbi wa Ofisi ya Nafrac, Shinyanga Mjini.

Dk. Kaributena akitoa elimu kwa wajumbe wa kikao hicho kuhusu magonjwa ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza. Pia wafanyakazi walipata nafasi ya kupima afya zao kwa hiari.