Bwana Severine Saveri ambaye ni mfanyakazi wa KASHWASA ameagana na ukapera leo baada ya kufunga pingu za maisha na mkewe kama wanavyoonekana pichani.