Kikao kuhusu Prepaid Water Meters kikiendelea mjini Morogoro, na kutafanyika kwa muda wa siku tatu  kuanzia leo. Mengi yamejadiliwa kuhusu faida na mapungufu ya dira hizo.