"Maji, Uhai Wako"  
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan (wa tatu kulia) akizindua mradi wa maji kutoka Ziwa Victoria kipande cha Tinde-Shelui tarehe 17 Oktoba, 2023
Mha.Patrick Nzamba Mkurugenzi Mtendaji wa KASHWASA akitoa ufafanuzi kwa Mhe. Aweso kuhusu ya shughuli za uendeshaji na usafirishaji maji kutoka kwenye chanzo cha uzalishaji.
Wageni kutoka CBWSOs za Wilaya ya Kahama na Viongozi wa RUWASA Wilaya ya Kahama walipotembelea kituo cha uzalishaji maji ya ziwa Victoria, Ihelele, Misungwi mkoa wa Mwanza.
Kituo cha Uzalishaji Maji Ihelele kinachosimamiwa na KASHWASA kilichopo Wilaya ya Misungwi, Mkoa wa Mwanza.
Mkurugenzi Mtendaji wa KASHWASA Mha. Nzamba (wa pili kulia) akimwelezea Naibu Waziri Wizara ya Maji Mhe. Mathew Kundo namna ya Uendeshaji wa shughuli za Uzalishaji Maji kutoka katika chanzo hadi katika kituo cha Uzalishaji Maji kilichopo Ihelele Wilaya ya Misungwi Mkoa wa Mwanza.
Tangi kubwa la maji liliopo mlima Mabale-Ihelele lenye uwezo wa kuhifadhi lita 35,000,000
Mkurugenzi Mtendaji wa KASHWASA Mha. Patrick Nzamba akishiriki zoezi la kupanda miti kwenye eneo la chanzo cha maji ya Ziwa Victoria - Ihelele, Mwanza
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha (wa tano kulia waliosimama mstari wa mbele) baada ya kikao cha kupitia Mpango Biashara wa KASHWASA wa miaka mitatu kuanzia Julai 2024-hadi Juni 2027.
Ziara ya Bodi na Mejimenti ya KASHWASA baada ya ukaguzi wa Mradi Mkubwa wa Maji kutoka Ziwa Victoria kwenda miji ya Sikonge, Urambo na Kaliua-Tabora.

DIRA

Kutoa huduma ya Maji inayomjali mteja kwa viwango vinavyokubalika Ulimwenguni.

DHIMA

Kutoa huduma ya majisafi, salama, yakutosha, endelevu na nafuu kwa wateja wetu katika maeneo yote tunayo hudumia.

MISINGI YA KAZI

Huduma bora ya maji ya jumla, Uwajibikaji, Uwazi, Ubunifu, Kumjali Mteja

BEI ZA MAJI
Kundi la Mteja Mamlaka za Maji CBWSO Migodi
Bei ya Unit 1 (lita 1,000) Sh. 985 Sh. 750 Sh. 1240
HISTORIA YA KASHWASA

Copyright © 2025 KASHWASA.