"Maji, Uhai Wako"  
HISTORIA YA KASHWASA

Jukumu kuu la KASHWASA ni kuzalisha Maji kutoka Ziwa Victoria, kusambaza na kuuza maji kwa jumla kwa Mamlaka za Maji, Vyombo vya Watoa Huduma ya Maji Ngazi ya Jamii (CBWSOs), na Migodi. Mpaka sasa KASHWASA imefikisha huduma mikoa sita ambayo ni Mwanza, Shinyanga, Geita, Simiyu, Tabora na Singida.

Copyright © 2025 KASHWASA.