KASHWASA MAJI NI MWA MWAA MWAA.
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kahama Shinyanga(KASHWASA)imeshiriki katika Kipindi cha Clouds 360 kwa lengo la kuonyesha mafanikio ya utekelezwaji ya Miradi ya Maji katika Mkoa wa Shinyanga

Katika kipindi hicho yamefanyika Mahojiano kati ya Kaimu Mkurugenzi Mtendaji KASHWASA Bw.John Zengo na Bi.Kija Yunus wa CLouds.

Tunashukuru Wizara ya Maji chini ya Mhe. Jumaa H. Aweso (Mb) na Waziri wa Maji Kupitia kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutupatia Fedha za utekelezaji wa Miradi ya Maji Mkoa wa Shinyanga