Ziara ya Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kahama Shinyanga Mha.Patrick Nzamba kwenye kiwanda cha Jambo kilichopo Mkoa wa Shinyanga mjini.Hii ni sehemu ya kutembelea wadau wa KASHWASA waliopo Shinyanga kwa lengo la kujenga na kuimarisha Mahusiano na wadau wa Mamlaka ya KASHWASA.Ziara hii imefanyika tarehe 12/1/2023.

Hii ni sehemu ya kutembelea wadau wa KASHWASA waliopo Shinyanga kwa lengo la kujenga na kuimarisha Mahusiano na wadau wa Mamlaka. Ziara hii imefanyika  tarehe 12/01/2023