Mkurugenzi Mtendaji wa KASHWASA Eng. Patrick Dismas Nzamba (Mwenye koti la kijivu) pamoja na baadhi ya viongozi wa juu wa KASHWASA wamekutana na uongozi wa TANESCO Shinyanga ofisini kwake (Mkurugenzi Mtendaji) leo, kujadili juu ya Ankara na huduma ya nishati ya umeme.

Kushoto ni Meneja Ufundi wa KASHWASA, Eng. Lawrence Wasala. Wengine ni viongozi toka TANESCO Shinyanga